Uncategorized

LULU AONGEA KWA MARA YA KWANZA AKIWA GEREZANI.. MSIKILIZE HAPA

By  | 

Msanii Elizabeth Michael Kusema ukweli alijua lolote linaweza kutokea ila la kufungwa ni kama hakulipa kipaumbele sana, jaji alipomaliza kusoma hukumu alishtuka kama sisi wengine wote lakini ajabu alikuwa wa kwanza kurudi katika hali ya kawaida na kutoa kauli za ujasiri,” anasimulia Dk Cheni

Lulu alisema:

“Sipingani na maamuzi ya Mungu, haya ni maamuzi yake na nimekubaliana nayo. Ana makusudi yake kunipa hiki kilichotokea leo”.

Achaneni na masuala ya kukata rufaa kwa sababu bado hatakuwa huru: “Acheni miaka miwili siyo mingi, sitaki kupingana na mahakama , naheshimu maamuzi ya mahakama, acheni nitumikie kifungo changu. ”

MSIKILIZE LULU HAPA CHINI AKIONGEA