Uncategorized

POST YA RC MAKONDA BAADA YA LULU KUHUKUMIWA YAZUA GUMZO.. SOMA HAPA

By  | 

Baada ya Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuhukumiwa kifungo cha miaka 2 jela kwa kosa la kuua bila kukusudia, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ameibuka na kuandika neno mtandaoni la kumfariji binti huyo.

RC Makonda amedai kila kwenye tatizo basi pia ipo njia ya kutokea huku akimtaka Lulu kuwa na subira.

“There is a room in every situation. Stay strong, Dady is coming! (Kunayo room kwenye kila situation, Baba anakuja),” aliandika RC Makonda kupitia Instagram.

Hata hivyo baada ya Mkuu huyo kupost ujumbe huo, kumekuwa na maoni tofauti tofauti kutoka kwa mashabiki juu ya kauli yake hiyo.

Soma maoni hayo…

Lozinamcutie

Amen mheshimiwa @paulmakonda binafsi nimekuelwa….. MUNGU yupo nae na atakuwepo nae daima….Ila kwa hali yakawaida wengi akili zao zimechafuka dats y wanabwabwaja maneno yasiyokuwa na utu.

Elizajackson1985

Kwan wakina babu seya walio kaa jera miaka yote sio watu?? Kwa upande wangu mm kama naomba lulu akitoka na babu seya na family yake atoke maana wote ni watu kama sisi. Na ni wasani kama yeye kama athabu imewatosha jaman. Simaanishi.. Kwamba nimefrah huyo dogo kwenda jera hapana maana jera niyetu wote ila?? Tusiegemee upande mmoja jaman lulu atoke na wengine watoke maana maisha ya uraiani matam japo Hali ngum lakn tuna pambana had kisomeke. bora wali mkavu kuliko. Nyama ya masimango please mheshimiwa.. Fanya mpango watoke hao watu @paulmakonda

Meshitv

Nakuelewaga sana tena sana leo cwez sema lolote zaidi ya neno Go dady plz😭😭 na mkono wa bwana uwe juu ako @paulmakonda#2pendane_wote_watt_wa_baba_m1hakuna aijuae dk wala saaa pia kesho yako hujui ikoje.

Kimulocollection9184

@mimi_zuu 😂 tell him to tell us who is that dad very sad Kwa hiyo Mama Kanumba yeye siyo binadamu.

Marymulhatcollections

@oj8119 yaan lulu akitoka itabidi tuandamane hivi huko jela kuna watuwangapi wengine hata hatia hawana wapo jela lulu kaua halaf mnasemaje eti haieezekane aitumijie adhabuyake kama wengine wanavyotunikia.

Mussa_mbeo

@paulmakonda kaka wewe ni mkubwa ndani ya taifa letu na Una nafasi kubwa..msaidie mdogo wetu.kka. @kamanimekosea sehem yoyote.#amhumannisamehe