Naibu Waziri wa Mipango na uwekezaji Mhe. Stanislaus Nyongo akihutubia wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa jengo la Hazina mkoani Geita
Baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Geita waliohudhuria tukio hilo wakifuatilia kwa karibu hotub ya Mgeni Rasmi
Jengo la hazina Geita lilogharimu zaidi ya bilioni 4 Manispaa ya Geita
Mhe. NAIBU Waziri Stanislaus Nyongo akiwa pamoja na viongozi wa Serikali na wabunge akiweka jiwe la Msingi katika jengo la Hazina Geita