By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
YanayojiriYanayojiriYanayojiri
  • Home
  • Home
    • Home 2
    • Home 3Hot
    • Home 4
    • Home 5New
  • Posts
    • Post Layouts
    • Gallery Layouts
    • Video Layouts
    • Audio Layouts
    • Post Sidebar
    • Review
      • User Rating
    • Content Features
    • Table of Contents
  • Pages
    • Search Page
    • 404 Page
Reading: Mkuu wa Wilaya Ubungo ateuliwa Mkurugenzi Mtendaji TANESCO
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
YanayojiriYanayojiri
Font ResizerAa
  • Categories
  • Home
    • Home 1
    • Home 2
    • Home 3
    • Home 4
    • Home 5
  • More Foxiz
    • Login
    • Contact
    • Blog
    • Buy Theme
  • Demos
  • Categories
  • Bookmarks
  • More Foxiz
    • Sitemap
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Kitaifa

Mkuu wa Wilaya Ubungo ateuliwa Mkurugenzi Mtendaji TANESCO

Mwandishi Wetu
Last updated: May 6, 2025 7:16 pm
Mwandishi Wetu
1 week ago
Share
SHARE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uhamisho na uteuzi huo ni kama ifuatavyo:

  1. Mhe. Albert Gasper Msando amehamishiwa kutoka Wilaya ya Handeni kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo;
  2. Mhe. Japheri Mghamba Kubecha amehamishiwa kutoka Wilaya ya Tanga kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni;
  3. Mhe. Dadi Horace Kolimba amehamishiwa kutoka Wilaya ya Karatu kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga;
  4. Bw. Lameck Karanga Nganga ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Nganga alikuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Karatu;
  5. Bw. Bahati Migiri Mfungo ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Karatu. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Mfungo alikuwa Afisa Tarafa ya Mbuguni, Wilayani Arumeru;
  6. Bw. Lazaro Jacob Twange ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Kabla ya uteuzi huu, Bw. Twange alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo; na
  7. Bw. Andrew William Massawe ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA). Bw. Massawe anachukua nafasi ya Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman ambaye amemaliza muda wake.

Share this:

  • Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
  • Click to share on X (Opens in new window) X

You Might Also Like

Kamati ya Bunge yakoshwa na utendaji TPA

Tanzania yatwaa tuzo ya uimarishaji usalama barabarani kimataifa

Halotel wazindua huduma kukabili matapeli mitandaoni

RC Dar: Usalama Dar ni shwari, Ujenzi Jangwani mboini kuanza

Rais Samia aagiza madereva wanaosababisha vifo kufutiwa kabisa leseni zao

TAGGED:TanescoUteuzi
Share This Article
Facebook Email Print
Previous Article Papa Francis afariki dunia Jumatatu ya Pasaka
Leave a Comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

UNGANA NASI

Unaweza kuwa sehemu ya familia hii kwa kuchangia kuleta taarifa za yanayojiri eneo lako, kuchangia makala, kushirikisha uzoefu wako kwa kutoa maoni na hata kuuliza ili kufahamu zaidi. Kujiunga nasi, tafadhali tuandikie kupitia karibu@yanayojiri.com  

© Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Join Us!
Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..
Zero spam, Unsubscribe at any time.
Go to mobile version