Fetty Omar
Kimataifa
MALAYSIA: wanaume 10 wakamatwa katika sherehe ya wapenzi wa jinsi moja
Mamlaka ya Malaysia imewakamata zaidi ya wanaume kumi na wawili katika jimbo la kaskazini-mashariki la Kelantan mwezi uliopita wakati wa uvamizi wa usiku wa...
Michezo
Sio Fiston tena, sasa ni Mahmoud Mayele, baada ya kubadili dini
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga ambae kwa sasa anakipiga kwenye klabu ya Pyramids FC ya Misri, Fiston Mayele amebadilisha dini kutoka kuwa Mkristo na...
Kimataifa
20 wauawa katika msongamano eneo la misaada la Gaza
Watu 20 waliokuwa wakijaribu kupata chakula wameuawa "kufuatia machafuko na ongezeko la hatari" katika kituo cha usambazaji wa misaada kusini mwa Gaza, Shirika la...
Kuelekea Oktoba 2025
‘Wawania ubunge’ 11 Kilimanjaro, wahojiwa TAKUKURU
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imewahoji watia nia 11 wa nafasi ya Ubunge katika Mkoa wa Kilimanjaro, kutokana na malalamiko ya...
Kimataifa
Vyuo vikuu vya China kufukuza wanafunzi wenye mahusiano na wanaume wa kigeni
Siku ya Jumanne (Julai 8), Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Dalian cha Uchina kilitoa ujumbe uliosema kwamba kilikuwa na mpango wa kumfukuza mwanafunzi wa...
Kimataifa
Waziri ajiuzulu baada ya kudai Cuba hakuna ombaomba
Waziri wa Kazi wa Cuba Marta Elena Feitó Cabrera amelazimika kujiuzulu baada ya kutoa maoni ya kukanusha kuwepo kwa ombaomba katika kisiwa hicho kinachoongozwa...
Kitaifa
Dk. Mwinyi aikaribisha Canada kuwekeza katika utalii na biashara
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa sekta ya utalii ni sekta ya kipaumbele kwa Zanzibar,...
Kuelekea Oktoba 2025
KUELEKEA OKTOBA 2025: Kwa nini watia nia wengi wanakimbilia CCM?
Mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zinazidi kushika kasi. Ni uchaguzi ambao Watanzania watamchagua rais wa Jamhuri ya Muugano, wabunge, madiwani na...
Join our community of SUBSCRIBERS and be part of the conversation.
To subscribe, simply enter your email address on our website or click the subscribe button below. Don't worry, we respect your privacy and won't spam your inbox. Your information is safe with us.