Wednesday, July 16, 2025

Gharos Riwa, Geita

Sio Fiston tena, sasa ni Mahmoud Mayele, baada ya kubadili dini

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga ambae kwa sasa anakipiga kwenye klabu ya Pyramids FC ya Misri, Fiston Mayele amebadilisha dini kutoka kuwa Mkristo na...

20 wauawa katika msongamano eneo la misaada la Gaza

Watu 20 waliokuwa wakijaribu kupata chakula wameuawa "kufuatia machafuko na ongezeko la hatari" katika kituo cha usambazaji wa misaada kusini mwa Gaza, Shirika la...

‘Wawania ubunge’ 11 Kilimanjaro, wahojiwa TAKUKURU

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imewahoji watia nia 11 wa nafasi ya Ubunge katika Mkoa wa Kilimanjaro, kutokana na malalamiko ya...

Vyuo vikuu vya China kufukuza wanafunzi wenye mahusiano na wanaume wa kigeni

Siku ya Jumanne (Julai 8), Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Dalian cha Uchina kilitoa ujumbe uliosema kwamba kilikuwa na mpango wa kumfukuza mwanafunzi wa...

Waziri ajiuzulu baada ya kudai Cuba hakuna ombaomba

Waziri wa Kazi wa Cuba Marta Elena Feitó Cabrera amelazimika kujiuzulu baada ya kutoa maoni ya kukanusha kuwepo kwa ombaomba katika kisiwa hicho kinachoongozwa...

Dk. Mwinyi aikaribisha Canada kuwekeza katika utalii na biashara

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa sekta ya utalii ni sekta ya kipaumbele kwa Zanzibar,...

KUELEKEA OKTOBA 2025: Kwa nini watia nia wengi wanakimbilia CCM?

Mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zinazidi kushika kasi. Ni uchaguzi ambao Watanzania watamchagua rais wa Jamhuri ya Muugano, wabunge, madiwani na...

Fredy Lowassa kutetea ubunge Monduli

Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fredy Lowassa amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa na chama chake cha CCM kutetea nafasi yake ya ubunge katika uchaguzi...

Join our community of SUBSCRIBERS and be part of the conversation.

To subscribe, simply enter your email address on our website or click the subscribe button below. Don't worry, we respect your privacy and won't spam your inbox. Your information is safe with us.