Wednesday, July 16, 2025

Kitaifa

Dk. Mwinyi aikaribisha Canada kuwekeza katika utalii na biashara

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa sekta ya utalii ni sekta ya kipaumbele kwa Zanzibar, ikichangia takribani asilimia 30 ya...

“Siku ya kupiga kura, akili za kuambiwa changanya na zako” – JK

Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema, licha ya vyama mbalimbali vya siasa kuwa na kauli mbiu zake zikiwamo za "Piga kura linda kura (ACT Wazalendo,...

Rais Samia kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika

Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Habari Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 14 hadi 17 Julai 2025. Mkutano huo utafanyika katika...

AJALI ZA BARABARANI ZINACHANGIA ASILIMIA 55 YA WANAOLIPWA FIDIA WCF

Karibu asilimia 55 ya taarifa za vifo vinavyoripotiwa katika Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi nchini (WCF) ni zile zinazoonyesha kuwa chanzo chake ni ajali...

Mkuu wa Wilaya Ubungo ateuliwa Mkurugenzi Mtendaji TANESCO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...

DKT. BITEKO: Wakristo liombeeni Taifa

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaasa wakristo kuliombea Taifa amani, utulivu, umoja na mshikamano uendelee ikiwa ni kuelekea...

Watu 7 wapoteza maisha ajali ya ambulance na toyo wilayani Mafinga

Watu saba wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa katika ajali ya gari la kubeba wagonjwa (ambulance) kugongana na toyo katika eneo la Luganga, lililopo...

CHADEMA: Tundu Lissu yuko Ukonga, nendeni mkamuone

Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), umewatoa hofu wanachama wake na wananchi kwa ujumla kuhusu hali ya mwenyekiti wa chama hicho, Tundu...

LATRA kutilia mkazo uchunguzi wa ajali za barabarani

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), taendelea kuweka kipaumbele katika kufanya uchunguzi wa ajali za barabarani ili kubaini visababishi vya ajali hizo hatua ambayo...

RC Dar: Usalama Dar ni shwari, Ujenzi Jangwani mboini kuanza

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewatoa hofu wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam kuhusiana na hali ya usalama katika...

Rais Samia aagiza madereva wanaosababisha vifo kufutiwa kabisa leseni zao

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameviagiza vyombo vya usalama barabarani nchini kuongeza nguvu katika usimamizi wa sheria...