Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imewahoji watia nia 11 wa nafasi ya Ubunge katika Mkoa wa Kilimanjaro, kutokana na malalamiko ya rushwa yaliyowasilishwa.
Mkuu wa TAKUKURU mkoani...
Mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zinazidi kushika kasi. Ni uchaguzi ambao Watanzania watamchagua rais wa Jamhuri ya Muugano, wabunge, madiwani na...