Wednesday, July 16, 2025

Mikoani

Rais Samia aagiza madereva wanaosababisha vifo kufutiwa kabisa leseni zao

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameviagiza vyombo vya usalama barabarani nchini kuongeza nguvu katika usimamizi wa sheria za usalama barabarani ikiwa ni...

Polisi Simiyu watoa ufafanuzi gari lao kubeba wanachama wa CCM

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekanusha madai kuwa gari lake lilitumika kubeba wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo Machi 22, 2025, kama...

Dar msisubiri mwishoni kujiandikisha daftari la wapigakura

WAKAZI wa Dar es Salaam wameanza kujiandikisha na wengine kuboresha taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Mchakato huo ulianza Jumatatu huku Tume...

Wananchi Mtwara wawaelimishwe kuhusu uchaguzi mkuu – Padri Kitima

Viongozi wa dini mbalimbali (Interfaith) mkoani Mtwara wametakiwa kuendelea kuwaelimisha wananchi katika masuala mbalimbali ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka 2025 hasa suala la...

Sita wafariki dunia ajali ya basi na lori Dodoma

Watu sita wamefariki dunia na wengine 49 wamejeruhiwa baada ya kutokea ajali katika eneo la Chigongwe Jijini Dodoma majira ya saa 4 usiku wa...

Chato yakabiliwa na upungufu wa madawati shule za msingi

Serikali katika wilaya ya chato Mkoani Geita imewaomba wadau wa elimu kuendelea kushirikiana na serikali ili kutatua upungufu wa madawati kwa wanafunzi wa shule...

Wawili wafariki dunia ajali ya basi Geita

Jeshi la Polisi linathibitisha ajali iliyotokea Februari 24, 2025 saa 2 usiku katika eneo la Mpomvu, Kata ya Mtakuja, Wilaya ya Geita ambapo Basi...

Hamasisheni Uwekezaji Mtwara – Dk. Hussein

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dk. Hussein Mohamed ameiagiza Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) kuendelea kuhamasisha wawekezaji ili waje kuwekeza katika kongani...

Wanafamilia washikiliwa na Polisi wakituhumiwa kuua baba yao mzazi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu watatu wa familia moja kwa tuhuma ya Mauaji ya baba yao mzazi aitwaye Hussein Bundala, mwenye...

UCHUNGUZI WA VURUGU SHULE YA SEKONDARI YA GEITA, WANAFUNZI 71 WACHUKULIWA HATUA

Kama mnavyokumbuka kwamba, Jeshi la Polisi Mkoani Geita Februari 21, 2025 lilitoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwashikilia wanafunzi thelathini (30) wa Kidato cha...

Mhe. Kanyasu atimiza ahadi ya pikipiki kwa wanahabari Geita

Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Mheshimiwa Constantine John Kanyasu, ametekeleza ahadi yake kwa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Geita (GPC) kwa...