Wednesday, July 16, 2025

Uncategorized

Simba SC yatanguliza mguu mmoja nusu fainali kombe la Shirikisho

Goli pekee la Jean Charles Ahoua katika dakika ya 45+2 kwenye Uwanja wa Amaan, limeiwezesha Simba kupata ushindi wa 1-0 dhidi ya Stellenbosch, katika mchezo wa Nusu Fainali ya...

Video ya mabinti wanaompigania Mwijaku yatua mezani kwa Mhe. Gwajima

Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima ametoa taarifa inayothibitisha kupokea videos zinazoonesha mabinti kadhaa wakishirikiana kumdhalilisha...

Nadine Vaujour: mwanamke aliyejifunza urubani ili akamtoroshe mumewe gerezani

Hadithi ya Nadine Vaujour ni mojawapo ya matukio ya kuthubutu na ya kimapenzi katika historia. Mnamo 1986, Nadine, mwanamke Mfaransa, alijifunza kurusha helikopta kwa kusudi...

Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi saidieni kutatua kero za walimu

Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri zote Nchini wametakiwa kuanzisha kliniki ndogondogo za walimu ili kusaidia kutatua changamoto zinazowakabili. Rai hiyo imetolewa, Februari 26,...

Geita yafikia 95% utekelezaji wa ilani ya CCM

HALMASHAURI ya wilaya ya Geita mkoani hapa imeweka wazi kuwa mpaka kufikia Februari 2025 tayari imefikia asilimia 95 ya utekelezaji wa Ilani ya Chama...

Hakikisheni CCM inaendelea kutawala – Dk. Mwinyi

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, amewataka wana-CCM kuhakikisha chama hicho kinaendelea kushika dola katika...