Wednesday, July 16, 2025

Watu Mashuhuri

Waziri ajiuzulu baada ya kudai Cuba hakuna ombaomba

Waziri wa Kazi wa Cuba Marta Elena Feitó Cabrera amelazimika kujiuzulu baada ya kutoa maoni ya kukanusha kuwepo kwa ombaomba katika kisiwa hicho kinachoongozwa na Wakomunisti. Waziri alikuwa amesema hakuna...

Mbunifu wa jina la TANZANIA afariki dunia akiwa Uingereza

Mohanmmed Iqbal Dar, aliyebuni jina la taifa la Tanzania, amefariki Dunia akiwa usingizini jijini Birmingham, Uingereza alikokuwa akiishi akiwa na umri wa miaka 80. Mohammed...

Mkasa wa Billionaire Eric Mandala wa DRC kunaswa na madawa ya kulevya

Anguko la Bilionea wa Congo Katika Mtego wa Madawa ya Kulevya. Eric Mandala Kinzenga, jina linalotetemesha miji mikubwa ya Afrika, alikuwa mfano wa ndoto...

Wafanyakazi wa Diddy wazidi kumkaanga gwiji huyo wa muziki hip hop aliye matatizoni

'Nina pesa nyingi hata naweza kukodi mtu akuue, na hakuna atakayejua.Hakuna atakayekufuatilia.Hutajulikana kabisa.'' Aliyekuwa mkurugenzi wa muziki Damiel Evans anasema jinsi anavyokumbuka vitisho alivyopewa na...