Miguel Gamondi Aachana na Al Nasr SC Libya Kwa Sababu ya Malipo Ya kutolipwa mshahara na marupurupu mengine
Miguel Gamondi, kocha wa soka mwenye umri wa miaka 58, ameamua kuachana na klabu ya Al Nasr SC ya Libya kwa sababu ya klabu hiyo kushindwa kulipa mishahara na ada zake. Gamondi alijiunga na klabu hiyo mnamo Februari, lakini sasa anatazamiwa kuwa kocha huru baada ya kutolipwa.
Pia, habari zinasema kuwa rais wa Al Nasr SC ameondoka klabu hiyo kufuatia mabishano yaliyotokea ndani ya klabu. Hali hii imeongeza misukosuko katika timu hiyo ya Libya maama watu hawajalipwa means huyu hata signing fee yake Hajalipwa yan jaman mpira ni headache bora ata Mapenzi .
Habari Hii itapatikana Extended ndani Ya tovuti yetu Bofya Link In My Bio kupitia ukurasa wa @divamediaafrica ukiongeza kuwa Gamondi sasa yuko katika soko huru kwa ajili ya timu yoyote inayemhitaji ila arud tu Yanga Jaman!.