By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
YanayojiriYanayojiriYanayojiri
  • Home
  • Home
    • Home 2
    • Home 3Hot
    • Home 4
    • Home 5New
  • Posts
    • Post Layouts
    • Gallery Layouts
    • Video Layouts
    • Audio Layouts
    • Post Sidebar
    • Review
      • User Rating
    • Content Features
    • Table of Contents
  • Pages
    • Search Page
    • 404 Page
Reading: Tutafanya uchaguzi wenye uadilifu – CCM
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
YanayojiriYanayojiri
Font ResizerAa
  • Categories
  • Home
    • Home 1
    • Home 2
    • Home 3
    • Home 4
    • Home 5
  • More Foxiz
    • Login
    • Contact
    • Blog
    • Buy Theme
  • Demos
  • Categories
  • Bookmarks
  • More Foxiz
    • Sitemap
Have an existing account? Sign In
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Kitaifa

Tutafanya uchaguzi wenye uadilifu – CCM

Mwandishi Wetu
Last updated: February 5, 2025 1:53 pm
Mwandishi Wetu
4 months ago
Share
SHARE

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema Chama cha Mapinduzi, kimedhamiria kuwa uchaguzi ujao utakuwa ni wa uadilifu na kwamba wanataka chama kisafi ambacho kitakuwa tayari kuwatumikia wananchi.

Dk. Nchimbi amesema hayo leo katika kilele cha maadhimisho ya miaka 48 ya CCM yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma yenye kaulimbiu yake isemayo ‘Shiriki uchaguzi kwa uadilifu, na kazi iendelee’

“Mkutano mkuu umesisitiza kwamba tunataka uchaguzi wa uadilifu, na kwakweli tungependa wana-CCM wote watuelewe tukisema uadilifu, mwenyekiti anamaanisha, kamati kuu inamaanisha na halmashauri kuu inamaanisha. Tunataka chama kisafi ambacho kiko tayari kutumikia wananchi”

Aidha, Dk John Nchimbi amesema sherehe hii imefanyika mwaka huu badala ya mwaka 2027, kufuatia maombi kutoka mikoa mbalimbali iliyotambua mafanikio makubwa ya Serikali chini ya chama hicho.

Share this:

  • Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
  • Click to share on X (Opens in new window) X

You Might Also Like

Daraja la Magufuli kuanza kutumika Aprili 30

Kamati ya Bunge yakoshwa na utendaji TPA

CHADEMA: Tundu Lissu yuko Ukonga, nendeni mkamuone

AJALI ZA BARABARANI ZINACHANGIA ASILIMIA 55 YA WANAOLIPWA FIDIA WCF

Mabasi Mapya ya Mwendokasi kuanza kupokelewa mwezi Aprili

Share This Article
Facebook Email Print
Previous Article Hakikisheni CCM inaendelea kutawala – Dk. Mwinyi
Next Article Ndoa ya Yanga na Ramovic yavunjika kwa makubaliano
Leave a Comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

UNGANA NASI

Unaweza kuwa sehemu ya familia hii kwa kuchangia kuleta taarifa za yanayojiri eneo lako, kuchangia makala, kushirikisha uzoefu wako kwa kutoa maoni na hata kuuliza ili kufahamu zaidi. Kujiunga nasi, tafadhali tuandikie kupitia karibu@yanayojiri.com  

© Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Join Us!
Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..
Zero spam, Unsubscribe at any time.
Go to mobile version